Tuesday, February 18, 2020

FAIDA YA PARACHICHI KATIKA MWILI

parachichi ni aina ya tunda la kipekee.
Matunda mengi kiasili ni wanga lakiniparachichi limejaa mafuta lakini ni mafutayenye manufaa katika Afya mwili. Basi karibu nikupe Faida za kula tunda la parachichi

FAIDA ZA PARACHICHI

KUONGEZAVIRUTUBISHO MWILINI
 - parachichi ni tunda la pekee ambalo  limebeba
   virutubisho mbali mbali ambavyo ni muhimu
   kama ......
•kalori
•sodiamu
•potasiamu
•wanga
•nyuzinyuzi za lishe
•folate asidi
•vitamin K,C,B5,B6,E
 -virutubisho vyote hivyo ni muhimu sana katika Afya katika kujenga mwili

HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO
-Swala la kupunguza lina athiriwa sana na mfumo walishe.Hivyo kula vyakula ambayo vina wezesha mchakato wa upatikanaji metaboli kwenda vyema uwezesha kupunguza uzito

HUSAIDIA UZALISHAJI WA HOMONI,NA UKUAJI WA SELI
-Kwakua tunda hili la parachichi lina fatty acid itokanayo na mafuta ya parachichi ambayo ni muhimu sana katika uzalishaji wa homoni na kukuza seli

HUSAIDIA KUONDOA LEHEMU
-Mafuta ya lehemu ni hatari ikiwa kiwango kitakua kikubwa mwilini hivyo unashauriwa kutumia parachichi kuepukana na tatizo hilo

HUSAIDIA KUPUNGUZA SUKARI MWILINI
-Parachichi ni tunda ambalo kiwango chake cha sukari hakina athari kwenye mwili , hivyo utumiaji wa parachichi ina punguza hatari ya kupata kisukari

HULINDA AFYA YA MOYO
-Parachichi ina madini ya potassium  ambayo usaidia  misuli ya moyo kufanya kazi vizuri,kiwango cha potassium ni asilimia 14

HULINDA AFYA YA MACHO
-Parachichi lina kemikali ya Luten na zeaxanthin
ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda na kuimarisha macho kuona vizuri

HUBORESHA AFYA YA UBONGO
-parachichi ina madini ya kopa ambayo ina nafasi kubwa ya kusaidia ubongo kufanya kazi vyema
,kiwango cha kopa ni asilimia 19

HUZUIA SARATANI
-parachichi inapunguza kasi ya ukuaji seli za saratani hasa seli za tezi dume

HUSAIDIA KUZUIA UVIMBE WA SARATANI
-Kwakua parachichi lina persenonix A na B hivyo husaidia kuzuia uvimbe

HUIMARISHA MIFUPA
-kwakua vitamin K vinapatikana katika parachichi pamoja na madini ya kopa na folate ambayo ni muhimu kwa ajili ya mifupa, hivyo kwa kutumia parachichi unaweza kuimarisha mifupa

HUSAIDIA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA
---vyakula vyenye nyuzinyuzi ni muhimu sana kwa ajili ya kufanya mmeng'enyo wa chakula kwenda vizuri, kwakua tunda hili lina nyuzinyuzi asilimia 13 ambayo ni sawa ya asilimia 54 ya nyuzinyuzi unayotakiwa
MUHIMU KWA WAJAWAZITO
---Kuwepo kwa kiasi kikubwa cha folate na potassium, vitamin c na b6  ambazo ni muhimu kwa afya ya mtoto katika ukuaji, hivyo mama mjamzito unashauriwa kutumia parachichi
HUIMARISHA KINGA YA MWILI
HUONGEZA NGUVU ZA MWILI

MUHIMU:-UNAWEZA KUTUMIA KAMA JUISI AU KULA KAWAIDA USISAHAU KUOSHA NA MAJI SAFI NA SALAMA

USIKOSE KUTUFATILIA KATIKA PAGES ZETU MBALI MBALI https://www.facebook.com/pg/habarinaafya/photos/
INSTAGRAM @afya_na_matunda_
CONTACTS NO
±255684559098/
 +255764500827
Email
info.afyanamatunda@gmail.com

personal account INSTAGRAM @iamkimtu

No comments:

Post a Comment