parachichi ni aina ya tunda la kipekee.
Matunda mengi kiasili ni wanga lakiniparachichi limejaa mafuta lakini ni mafutayenye manufaa katika Afya mwili. Basi karibu nikupe Faida za kula tunda la parachichi
FAIDA ZA PARACHICHI
KUONGEZAVIRUTUBISHO MWILINI
- parachichi ni tunda la pekee ambalo limebeba
virutubisho mbali mbali ambavyo ni muhimu
kama ......
•kalori
•sodiamu
•potasiamu
•wanga
•nyuzinyuzi za lishe
•folate asidi
•vitamin K,C,B5,B6,E
-virutubisho vyote hivyo ni muhimu sana katika Afya katika kujenga mwili
HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO
-Swala la kupunguza lina athiriwa sana na mfumo walishe.Hivyo kula vyakula ambayo vina wezesha mchakato wa upatikanaji metaboli kwenda vyema uwezesha kupunguza uzito
HUSAIDIA UZALISHAJI WA HOMONI,NA UKUAJI WA SELI
-Kwakua tunda hili la parachichi lina fatty acid itokanayo na mafuta ya parachichi ambayo ni muhimu sana katika uzalishaji wa homoni na kukuza seli
HUSAIDIA KUONDOA LEHEMU
-Mafuta ya lehemu ni hatari ikiwa kiwango kitakua kikubwa mwilini hivyo unashauriwa kutumia parachichi kuepukana na tatizo hilo
HUSAIDIA KUPUNGUZA SUKARI MWILINI
-Parachichi ni tunda ambalo kiwango chake cha sukari hakina athari kwenye mwili , hivyo utumiaji wa parachichi ina punguza hatari ya kupata kisukari
HULINDA AFYA YA MOYO
-Parachichi ina madini ya potassium ambayo usaidia misuli ya moyo kufanya kazi vizuri,kiwango cha potassium ni asilimia 14
HULINDA AFYA YA MACHO
-Parachichi lina kemikali ya Luten na zeaxanthin
ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda na kuimarisha macho kuona vizuri
HUBORESHA AFYA YA UBONGO
-parachichi ina madini ya kopa ambayo ina nafasi kubwa ya kusaidia ubongo kufanya kazi vyema
,kiwango cha kopa ni asilimia 19
HUZUIA SARATANI
-parachichi inapunguza kasi ya ukuaji seli za saratani hasa seli za tezi dume
HUSAIDIA KUZUIA UVIMBE WA SARATANI
-Kwakua parachichi lina persenonix A na B hivyo husaidia kuzuia uvimbe
HUIMARISHA MIFUPA
-kwakua vitamin K vinapatikana katika parachichi pamoja na madini ya kopa na folate ambayo ni muhimu kwa ajili ya mifupa, hivyo kwa kutumia parachichi unaweza kuimarisha mifupa
HUSAIDIA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA
---vyakula vyenye nyuzinyuzi ni muhimu sana kwa ajili ya kufanya mmeng'enyo wa chakula kwenda vizuri, kwakua tunda hili lina nyuzinyuzi asilimia 13 ambayo ni sawa ya asilimia 54 ya nyuzinyuzi unayotakiwa
MUHIMU KWA WAJAWAZITO
---Kuwepo kwa kiasi kikubwa cha folate na potassium, vitamin c na b6 ambazo ni muhimu kwa afya ya mtoto katika ukuaji, hivyo mama mjamzito unashauriwa kutumia parachichi
HUIMARISHA KINGA YA MWILI
HUONGEZA NGUVU ZA MWILI
MUHIMU:-UNAWEZA KUTUMIA KAMA JUISI AU KULA KAWAIDA USISAHAU KUOSHA NA MAJI SAFI NA SALAMA
USIKOSE KUTUFATILIA KATIKA PAGES ZETU MBALI MBALI https://www.facebook.com/pg/habarinaafya/photos/
INSTAGRAM @afya_na_matunda_
CONTACTS NO
±255684559098/
+255764500827
Email
info.afyanamatunda@gmail.com
personal account INSTAGRAM @iamkimtu
